Msaada: Mwanaume huyu hapigi bao

Msaada: Mwanaume huyu hapigi bao

exceptional lady

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
332
Reaction score
248
Jamani habari za humu ndani,

Nina mtu anadate na mdogo wangu, ila tangu walipoanza kudate huyo mwanaume hajawahi kupizi hata siku moja, na mzee anapachimba kwa mda wa lisaa au dakika 55 bad luck mwanaume ameoa.

Swali langu ni hivii, je hana mbegu au ana matatizo na amedate nae kwa mda wa mwaka sasa lakini duuh! Inahuzunisha na anadai mzigo haulali hata kama wamefanya kwa mda mrefu so huwa anavaaga tu boxer yake huku kitu mnara.

Naombeni mawazo yenu ili tujaribu kumshauri huyu shemeji angu coz hata yeye anashangaa.
 
hahaha iyo itakuwa ni chaputa aisehh jamaa kajiselifsha wana lowassa wote mpaka ikawa hamna tena au jamaa anapika puli kabla ya mchezo sasa akiingia ndo ivyo tena wanaukawa wanakuwa mbali ya ccm au huyo mwanamke ana nyapu kubwa sana naifananisha na ndoo unatia kalamu nadhani umenielewa, K ikiwaga kubwa aka mlegezo ata kumwaga hakuna ila kama imebana aka mnato hata dakika tano tuu nyingi tayari ushajicharanga foto. nashauri atumie pilipili zote ila syo kichaa kisha achanganye na kachumbari ale kabla ya kuingia mzigoni masaa matatu inaweza saidia.

sooo sad
 
Huyo jamaa anatatizo ambalo huathiri takribani asilimia 4 ya wanaume duniani. Ni ejaculatory disorder na ya huyo jamaa inaitwa delayed ejaculation endapo huyo mtu anawezakufikia kumwaga baada ya muda mrefu au retarded ejaculation endapo hawezi kabisa kumwaga. Kama ni mume wa mtu na ana watoto basi anaweza kupiga bao. Tatizo hilo hutokea ktk umri mkubwa kwa baadhi ya watu na wengine hulitengeneza wenyewe wakijua au kwa bahati mbaya.
 
huyo jamaa kuna vitu anatumia kabla ya mchezo ya wezekana anameza panado za kenya na maji ya baridi kabla ya game au wazee wa amarula au ndo alivyo tu anywei ngoja waje wazoefu .....
 
Jamani habari za humu ndani,Nina mtu anadate Na mdogo wangu, Ila tangu walipoanza kudate huyo mwanaume hajawahi kupiiz Hata siku moja, Na mzee anapachimba Kwa mda wa lisaa Au dakika 55.. bad luck mwanaume ameoa. Swali langu ni ivii, je,hana mbegu??au ana matatizo??na amedate nae kwa mda wa mwaka sasa lakini duuh!!inahuzunisha.na anadai mzigo haulali hata kama wamefanya kwa mda mrefu.so hua anavaaga tuu boxer yake huku kitu mnara..naombeni mawazo yenu ili tujaribu kumshauri huyu shemeji angu coz hata yeye anashangaa.
Duh watu mnashida sana mtu akiwahi kupiga bao mnamwita mwanaume wa Dar akichelewa napo tatizo duh😵
 
Jamani habari za humu ndani,Nina mtu anadate Na mdogo wangu, Ila tangu walipoanza kudate huyo mwanaume hajawahi kupiiz Hata siku moja, Na mzee anapachimba Kwa mda wa lisaa Au dakika 55.. bad luck mwanaume ameoa. Swali langu ni ivii, je,hana mbegu??au ana matatizo??na amedate nae kwa mda wa mwaka sasa lakini duuh!!inahuzunisha.na anadai mzigo haulali hata kama wamefanya kwa mda mrefu.so hua anavaaga tuu boxer yake huku kitu mnara..naombeni mawazo yenu ili tujaribu kumshauri huyu shemeji angu coz hata yeye anashangaa.
Umehadithiwa: au weye ndo muhusika?
 
Mh.Mdogowako kweli?

Mwanaume huyo kwa upeo wangu mdogo ana uwezo mdogo katika tendo, na huwa akitumia dawa ku boost hali yake. kama ukifuatilia kitendo cha kwenda mnara huchangiwa na ubongo then damu inapita kwenye mishipa na mambo ka izo.
sasa ukimaliza tendo kama mwanaume lazima ukumbuke stress tu (tena kwa kipindi hichi ndo kabisaa) kitu ambacho hulaza mnara salama tu wakati wa kuondoka.

Sasa kwanza inaonekana wewe mvivu, hata anywe nini unatakiwa uwe kwenye position ya kumtuliza tu maana si ndo kiburudisho chake? Na pia jaribu kujua mambo mengi yenye mhamasiko ambayo yatafanya aache dawa na kuwa na uwezo huo muda wote (m'hamu'). Kila mwanamke anaweza kuwa fundi na taalamu, you only need efforts tu. Well, hapa ndo upeo ulipoishia.🙂
 
Huko alikooa mkewe ana watoto?
Kama anao kamwambie mke wa huyo jamaa kuwa watoto sio wake,
Kwani yeye hamwagi.
 
Mkuu elewa kuwa kuna kuwahi na kuchelewa ila mwisho wa siku unakojoa,
Ila huyu hakojoi kabia yale maziwa mazito.
sasa kwani lazima akojoe ? kama hajafikia kukojoa mnataka akojoe tu? au demu anataka jamaa akojoe?
 
Jamani habari za humu ndani,

Nina mtu anadate na mdogo wangu, ila tangu walipoanza kudate huyo mwanaume hajawahi kupizi hata siku moja, na mzee anapachimba kwa mda wa lisaa au dakika 55 bad luck mwanaume ameoa.

Swali langu ni hivii, je hana mbegu au ana matatizo na amedate nae kwa mda wa mwaka sasa lakini duuh! Inahuzunisha na anadai mzigo haulali hata kama wamefanya kwa mda mrefu so huwa anavaaga tu boxer yake huku kitu mnara.

Naombeni mawazo yenu ili tujaribu kumshauri huyu shemeji angu coz hata yeye anashangaa.
Bila Shaka ww ndo muhusika na wala sio mdogo wako!!

Kimsingi, huyo bwana wako anatumia dawa ya kikongo inayoitwa PUTURU,
 
Jamani habari za humu ndani,

Nina mtu anadate na mdogo wangu, ila tangu walipoanza kudate huyo mwanaume hajawahi kupizi hata siku moja, na mzee anapachimba kwa mda wa lisaa au dakika 55 bad luck mwanaume ameoa.

Swali langu ni hivii, je hana mbegu au ana matatizo na amedate nae kwa mda wa mwaka sasa lakini duuh! Inahuzunisha na anadai mzigo haulali hata kama wamefanya kwa mda mrefu so huwa anavaaga tu boxer yake huku kitu mnara.

Naombeni mawazo yenu ili tujaribu kumshauri huyu shemeji angu coz hata yeye anashangaa.
Vipi kwishneri nini na wewe?
 
Back
Top Bottom