Msaada: Mwanaume ninayeishi naye haoneshi kunipenda na hataki tuachane

KUNA ISSUE NYING SANA HAPA!!

but kubwa kuliko yote is
HAUNA FURAHA NA HAYA MAHUSIANO!!

amua kuendelea at your risk!


Kwa mtazamo wangu, hawa ndugu zetu wote walikosea toka mwanzo, hakukuwa na penzi, huyu alimuona jamaa ana wadhifa basi akajua mambo Hoya Hoya, kaingia ndoani expectation imekuwa tofauti kabisa na reality . Sasa hivi anaona kama vipi avunje uchumba/ndoa.
Mimi kwa ushauri wangu nikiwa kama kijana mdogo( Nina miaka 20 [emoji23][emoji23]), huyu dada aendelee na mshikaji tu, sijaona kosa kubwa la kung’atuka. Kuna manyang’au kitaa, yaani huyo Eng ni Baba Paroko kabisa.
Ila yote kwa yote, We are the captain of our own ship, she can decide where to sail.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pole sana
 
 
Nilichokiona ni kuwa unampenda mno jamaa. Unapompenda mtu kupitiliza, anaweza akakufanyia mambo mazuri tu ile kikawaidq ila yakawa hayafikii matarajio yako. Tulia na huyo mtu. Mwanaume ambaye ukimchunia anakosa rahq, akikosea anaomba msamaha, anakupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…