MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Jibu kama unajuaUnapoteza bando zetu bure. Maswali mengine ya hovyo kabisa.
We saga sumu bana Nairobi kufanya nn.Msaada , nataka kwenda Nairobi kutokea Buzuruga stendi.
Maswali yangu ni
Lipi basi zuri?
Nauli kiasi gani?
Safari ni masaa mangapi?
Vipi kuhusu chanjo mpakani?
Nk.
Natanguliza shukrani
Katafute hati ya kysafiria kwanza wewe.. Hiyo sio safari ya chato[emoji3]Msaada , nataka kwenda Nairobi kutokea Buzuruga stendi.
Maswali yangu ni
Lipi basi zuri?
Nauli kiasi gani?
Safari ni masaa mangapi?
Vipi kuhusu chanjo mpakani?
Nk.
Natanguliza shukrani
Panda mkokoteni wa punda stendi ya Lamadi....Msaada , nataka kwenda Nairobi kutokea Buzuruga stendi.
Maswali yangu ni
Lipi basi zuri?
Nauli kiasi gani?
Safari ni masaa mangapi?
Vipi kuhusu chanjo mpakani?
Nk.
Natanguliza shukrani
Wewe ni tapeli