nlisoma pale n wakat naenda ckuwa na join instruction
nlpewa nliporpot zen nkaenda nunua mahitaji.......... bt kwa kuanzia --surual nyeus, shat nyeupe mikono mirefu, viatu vyeus
....zaid pesa coz shule iko town so mahitaj yote(godoro,masweta nk) yanapatikana