Msaada mwenye kujua kipengele cha malipo ya likizo "incidental expenses on journey"

Msaada mwenye kujua kipengele cha malipo ya likizo "incidental expenses on journey"

OTTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
476
Reaction score
330
Wasalaam wana JF

Najua humu kuna wajuzi na wataaluma wa mambo mbalimbali. Nataka kujua kuhusu malipo ya likizo. Kuna hiki kipengere cha "Incidental expenses on journey" kina hitaji mwajiriwa alipwe katika mazingira yapi, maana kuna anaye safiri siku tatu ndipo anafika kijijini kwao hasa msimu huu wa mvua. Anatakiwa kulipwa Perdiem au half perdiem au on transit allowance? maana standing order imeeleza sijaielewa.

Nawashukuru kwa ukalimu wemu.
Uzalendo hauna chama.
 
Back
Top Bottom