MSAADA:Mwenye kujua sifa za mke mwalimu.

Waziri wa madini

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
379
Reaction score
466
Kuna rafiki yangu anahitaji kuoa mke ambaye ni mwalimu wa sekondari ameniomba ushauri na mimi nimeona nililete jukwaani.Wapo wanaosema ukioa mwalimu utaishi kama mfalme alie peponi mfano halisi anko magu au jk.Na wapo wanasema waalimu wanagubu na Malaya hasa kwakuchepuka na mateacher wenzao,wengine wanasema waalimu hawajui mapenzi wako oldfashion sio romantic.Kwa mnaojua sifa za waalimu hebu fungukeni nipate cha kumshauri rafiki yangu .
 
Katika sifa zote utakazotajiwa.
Hakikisha moja ya sifa yake ni kufaulu vizuri mitihani yake.

La sivyo utalia na kusaga meno
 
Kila mtu na kichwa chake na akili zake pia so dogo hebu oa tabia na muonekano hayo ya kulinganisha kabila,kundi,aina ya kazi siku hizi yameshapitwa na wakati.
KUNA WALIMU VICHAA NA WALIMU WAZURI KWA KUOA SO ACHANA NA DHAMA ZA S.L.P TUPO ENZI ZA WHATSAP
 
Mlianza na tabia za makabila naona mmehamia kwenye taaluma. Twende kazi wengine watakushauri uoe mwanasheria maana anajua sheria za ndoa kwa hiyo utaishia kama peponi, wengine watakushauri polisi au mjeda maana wana uzoefu wa kutii amri bila shuruti ndo maana hawaandamani.
 
Minataka tujue zile sifa zao kwanza chief au wewe teacher?
 
Ndiyo maana darasa la 7 na form 4 wanaolewa sana ukilinganisha na hawa wanaojiita wasomi.
 
1. Asubuh jamaa lazima ahesabu namba
2. Awe tayari kuitwa majina (attendance)
3. Kukusanya fedha zote na kumpatia mkewe(kama wafanyavyo wanafunz kukusanya daftar)
4. Awe tayar kuaga wakat anatoka na kuruhusiwa kuingia ndani pindi anarudi "plz madam may I go out, plz madam may I come in?!?"
 
Minataka tujue zile sifa zao kwanza chief au wewe teacher?

Mwambie rafikiyo sifa kubwa ya kuangalia kwake aangalie DINI kama DINI ipo basi hiyo ni moja kati ya sifa kubwa kabisa, halaf aangalie nyingine anazopenda awe nazo kama mke wake.

Wassalaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…