MSAADA: Mwenye kujua taratibu za kilimo Cha tikiti

antanarivo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2018
Posts
450
Reaction score
883
Habari za leo viongozi!

Naomba kwa mtu ambaye anajua mchanganuo halisi wa kilimo Cha tikiti anisaidie kuhusu vitu vifuatavyo:

1.Gharama za mbegu za kutosha eka 1

2. Idadi ya Miche katika eka 1

3. Miezi mizuri kwa kilimo Cha tikiti kwa hii Kanda ya ziwa

4. Gharama na aina za madawa

5. Budget yake kwa eka ikoje Hadi mavuno na muda wake ni MIEZI mingapi toka UPANDE

6. Tahadhari zake kama zipo

Ahsante
 
Tukianza na mbegu, itategemea na mfumo wako wa upandaji, mfano:utatumia mfumo wa matuta yenye upana wa mita mbili kila tuta na hatua kutoka shimo moja hadi lingine mita moja, na utapanda mbengu ngapi ngapi kwa kila shimo?.mimi nalima kigamboni dar, natumia mfumo wa natuta ya upana wa mita mbili kila tutta.kwa heka moja huwa napata mashimo kuanzia 1200-1300,na ninapanda mbegu mbili mbili kwa kila shimo. Budget yangu ya mbegu huwa ni 150k kutegemea aina ya mbegu nazo tumia sukari f1 au Bolton.

Kuhusu gharama za mradi mzima itategemea na mfumo mzima wa eneo ulilopo na aina ya umwagiliaji utakao ufanya. Mfano;mtu anae mwagilia kwa kutumia water pump na asie tumia hiyo lazima gharama ziwe tofauti, au mfumo wa mbolea utatumia upi kienyeji au kizungu.taarifa zote hizo ukiwa nazo ndioo zinazo weza fanya mtu akupe makadilio ya Budget kwa mradi mzimaaa.
 
Thanks mkuu nataka kulima kisasa

Na kumwagilia kwa pump pamoja mbolea za dukani na madawa yake
 
Utalimia wapi? (Mkoa).kwa mfano sisi tunaolima pwani ikifika mwezi wa pili sio sahihii sana kupanda kwasababu ya mvua nyingii,ila mimi mzoefu msimu wotee wa mwaka hua nalima.

Nacho kushauri mahali utapo limia, tafuta wakulima wa eneo hilo wakupe myongonzo sahihiii utaoendana na mazingira husika.

Kwasababu nachelea kukupa maelekezo hapa nikiwa sijui mazingira yako hudika.ila tukijaaliwa tukumbushane jumatatu nitakupa rough budget ya heka moja kwa mazingira ya huku niliko na kwa mfumo naotumia mimii.
 
Nitashukuru mkuu ,
Mimi nipo mkoani Kanda ya ziwa
 
Habari za leo viongozi!

Naomba kwa mtu ambaye anajua mchanganuo halisi wa kilimo Cha tikiti anisaidie kuhusu vitu vifuatavyo:

1.Gharama za mbegu za kutosha eka 1

2. Idadi ya Miche katika eka 1

3. Miezi mizuri kwa kilimo Cha tikiti kwa hii Kanda ya ziwa

4. Gharama na aina za madawa

5. Budget yake kwa eka ikoje Hadi mavuno na muda wake ni MIEZI mingapi toka UPANDE

6. Tahadhari zake kama zipo

Ahsante
Naona hujaweka gharama za mafuta (km utamwagilia kwa mashine) ni moja kati ya costs muhimu sn + wafanyakazi wa shambani.
Ktk kazi km kupanda, kupalilia, kuandaa majaluba au matuta, kuchuma matunda, kulima na ng'ombe au powertiller au tractor.
 
Mkuu leo ndio Jumatatu
Utalimia wapi? (Mkoa).kwa mfano sisi tunaolima pwani ikifika mwezi wa pili sio sahihii sana kupanda kwasababu ya mvua nyingii,ila mimi mzoefu msimu wotee wa mwaka hua nalima.

Nacho kushauri mahali utapo limia, tafuta wakulima wa eneo hilo wakupe myongonzo sahihiii utaoendana na mazingira husika.

Kwasababu nachelea kukupa maelekezo hapa nikiwa sijui mazingira yako hudika.ila tukijaaliwa tukumbushane jumatatu nitakupa rough budget ya heka moja kwa mazingira ya huku niliko na kwa mfumo naotumia mimii.
 
Mkuu leo ndio Jumatatu
Mkuuu hapa chini ni rough budget kwa mazingira ya huku kwangu. Karibu kwa maswali. Gharama za Usafiri, chakula, na petrol sijaweka manaa sijui mazingira yako.
20221227_115445.jpg
 
Kinumbo chochote hapo kinaweza badilika kulingana na mazingira iliyoko, mfano kama uko mahali mbolea ya samaddi inapatikana kwa urahisi unaweza tumia hiyo.

Samaddi ya kuku ni nzurii zaidi kwa mboga mbogaa
 
Mkuuu hapa chini ni rough budget kwa mazingira ya huku kwangu. Karibu kwa maswali. Gharama za Usafiri, chakula, na petrol sijaweka manaa sijui mazingira yako.View attachment 2459695
Thanks sana mkuu daah hii nimeipenda kumbe mbolea sio lazima mfuko wa kilo 50k
Japo sijaelewa hapo mbolea ya kunenepesha 600000 au 60000?
 
Mimi ushauri wangu unapotafuta gharama za uendeshaji utafute na uhakika wa Soko pia maana Kuna kipindi Mimi yalinikuta nilitoa mzigo wa Maana alaf nikafeli kwenye Soko.
 
Back
Top Bottom