Msaada mwenye packet tracer inayosapoti MPLS

Msaada mwenye packet tracer inayosapoti MPLS

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Posts
8,146
Reaction score
3,235
Habari za wanajamvi
samahanini mimi kila nikionekana ktk jamvi hili siku zote ni msaada.samahanini kwa hilo.

Naomba mwenye packet tracer inayosapati mpls ama simulator yoyote anisaidie.
Natanguliza shukurani.
 
Hi

Download hiyo Packet tracer 5.2 then tuambia kama imekufaa

Mkuu
hiyo link uliyoni direct imeshatolewa, na hata hivyo nimedownload version 5.2 bado haisapoti.kwahiyo tatizo liko bado pale pale.
 
Tumia GNS3,Binafsi nimekuwa nikiitumia sana hii simulator kwa ajili ya MPLS,ila tu kwa OS nyingi wanatumia Tags badala ya Label,ninatumia version 12.4 lakini bado wanatumia Tags sio Label,ila hakuna tofauti ukizingatia TDP na LDP zinafanana tu ukiondoa tofauti ya majina so kwa MPLS tumia GNS3 nina uhakika kwa 100% ni suluhisho la tatizo.

Kwa Msaada wa mambo mbalimbali ya ICT tembelea Afrot Forum-ICT Kijiji
 
Nakubaliana na Kilongwe, GNS3 itakusaidia kutatua tatizo lako.
 
Kama utakuwa na shida ya IOS utanistua,Ila GNS kwenye MPLS ina matatizo kidogo endapo hauna memory ya kutosha,especialy Target Routing na Route Destribution ambazo zinaconsume resources nyingi.


Kwa Msaada wa mambo mbalimbali ya ICT tembelea Afrot Forum-ICT Kijiji

Mkuu
Nafikiri mashine zangu zina memory za kutosha kuhimili vishindo. vya remote session aka target session.
Mkuu wangu una maswali na majibu ya CCIP 642-611 ? mfano kutoka Pass4sure ama passguid?? kama unayo nipasie ndugu yangu.
 
Nah,ila nitakuchekia mkuu.

Mkuu nasubiri nichekie zote na za ccnp.

Mkuu hapa IOS inakuwaje? ni download hizo file niwe nazi reference ama ni edit wapi ktk GNS3.

asante
 
Back
Top Bottom