Msaada mwenye software ya VLC Media

Msaada mwenye software ya VLC Media

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wandugu mwene software ya VLC Media anisaidie kama anayo hapa nimejaribu kudownload kwa simu kisha kuicopy kweny PC inakataa.

Kama kuna mwenye nayo aiweke hapa tafadhali..
 
kawaida browser yao inatambua os unayotumia kabla ya kudownload na kukupeleka kwenye setup husika, unaweza kuwa unadowload .apk badala ya .exe, pia kama ni .exe hakikisha unajua os yako ni 32bit au 64bit kabla ya kudowload.
 
Una maana gani pc haina network connection wakati una simu ambayo unaweza kuitumia kama MODEM?
Ndio nilikuwa natumia kwa kuconect na hotspot lakin tangu niweke window nyingine nikiconnect inaandika PC " enter security key"

Nikiingiza za pale kwenye hotspot bado inarudia hivyo hivyo
 
Wakuu nimepta player nyingine (potplayer)
Japo vlc ndo nzuri zaid sina jinsi kutumia hii
 
Back
Top Bottom