Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Asant mkuu lakini hii nikiistall kwa PC haiwez sumbua maana PC haina network connection
HaiwezAsant mkuu lakini hii nikiistall kwa PC haiwez sumbua maana PC haina network connection
Mkuu kwangu inaktaa naweza pata player nyingine??Download kwenye officially website yao ni free tuu mbona Official download of VLC media player, the best Open Source player - VideoLAN
Google km playerMkuu kwangu inaktaa naweza pata player nyingine??
Una maana gani pc haina network connection wakati una simu ambayo unaweza kuitumia kama MODEM?Asant mkuu lakini hii nikiistall kwa PC haiwez sumbua maana PC haina network connection
Hebu weka hapa specs za PC yako!Mkuu kwangu inaktaa naweza pata player nyingine??
Window 7 ilishafungwa!Chief-Mkwawa ,na wengineo.
Natumia window 7 PC system ni 32 bit
Hapo ikikataa inaandikaje?Mkuu kwangu inaktaa naweza pata player nyingine??
Ndio nilikuwa natumia kwa kuconect na hotspot lakin tangu niweke window nyingine nikiconnect inaandika PC " enter security key"Una maana gani pc haina network connection wakati una simu ambayo unaweza kuitumia kama MODEM?
Yaani sometime inaandika nimalizie kufanya installation online..Hapo ikikataa inaandikaje?
Weka hapa error unayopataWakuu nimepta player nyingine (potplayer)
Japo vlc ndo nzuri zaid sina jinsi kutumia hii
Nilipoistall ilikuwa hai show up nikiweka audio inaskika lakini huoni kitu even video mkuuWeka hapa error unayopata