Msaada: Mwenye uelewa na sauti ya huyu ndege naomba anijuze ni sauti ya ndege gani hii

Kuna ndege mmoja aitwae Bundi,ni ndege hatari sana..Nuksi....Nadhani nihuyo..
U hatari kwasababu hutumiwa sana na wachawi.Ila kama ni wakawaida haina shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…