Msaada: Mwenye ufahamu kuhusu Tigo pesa M- pesa na Airtel Money

Msaada: Mwenye ufahamu kuhusu Tigo pesa M- pesa na Airtel Money

nimechafukwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
288
Reaction score
230
Naomba mtu anijuze vigezo vya kuanzisha hii kitu na faida zake please.
 
ni biashara bahri sana ukijituma na kuwa na murjani ya pesa kwa sababu ili uone faida inabd hela iwepo mda wote mtu akitaka niweka kuota Chagua sehemu yenye watu wengi na posho yake ni mrefu sana
 
uko wapi? na sh ngapi?. Mimi nafanya nitafute nitakujuza , Nina kibanda mkuu
 
Ni biashara nzuri jpo inataka umakini sana kua makinina fedha badia huo mtaji unatoa sana ila usihusishe na matumiz mengne kama kodi ya. Frem kukarabati au kutafutia line bada ya kiwa na kila kitu ndo uweke hyo 1.5mil. Pia ukitaka line ya tigo pesa mm nnazo nyingi ntafute 0653 - 639214/0778 - 818747
 
it is a good business. Nina kibanda mkuu. mtaji wangu ni kama ........kama una mtaji ingia kwenye business mkuu.
 
Ni biashara nzuri jpo inataka umakini sana kua makinina fedha badia huo mtaji unatoa sana ila usihusishe na matumiz mengne kama kodi ya. Frem kukarabati au kutafutia line bada ya kiwa na kila kitu ndo uweke hyo 1.5mil. Pia ukitaka line ya tigo pesa mm nnazo nyingi ntafute 0653 - 639214/0778 - 818747

Mi nahitaji hizo line ntakucheki
 
Back
Top Bottom