nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 288
- 230
uko wapi? na sh ngapi?. Mimi nafanya nitafute nitakujuza , Nina kibanda mkuu
Ni biashara nzuri jpo inataka umakini sana kua makinina fedha badia huo mtaji unatoa sana ila usihusishe na matumiz mengne kama kodi ya. Frem kukarabati au kutafutia line bada ya kiwa na kila kitu ndo uweke hyo 1.5mil. Pia ukitaka line ya tigo pesa mm nnazo nyingi ntafute 0653 - 639214/0778 - 818747