Habari zenu wapendwa. Ndugu zangu naomba kusaidiwa kuhusu hyo shule nasikia ipo Morogoro lakini sifahamu ni sehemu gani hapo ilipo, ada bei gani, utaratibu wa kumpeleka mtoto pale kusoma upoje na huduma zake zipoje kitaaluma na kiroho?
Mimi watoto wangu ni mapacha wana umri wa miaka minne, Kulwa wa kiume doto wa kike. Sasa natafuta shule ndani ya mkoa wa Morogoro ya nursery na iwe boarding. Naomba mwenye kuijua hiyo shule anisaidie kunielekeza nafikaje, mambo ya ada ni kiasi gani kwa mwaka? Nashukuru kwa muda wenu. Mwenye details zozote anaweza kuniPM plz wapendwa. Ucku mwema