Msaada mwenye ufahamu zaidi ktk biashara ya saloon ya kiume.

Msaada mwenye ufahamu zaidi ktk biashara ya saloon ya kiume.

NURDIN.HAMIS

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
79
Reaction score
5
Mwenye uzoefu na biashara ya saloon za kiume anisaidie uzoefu ktk hili nataka kufungua hiyo kitu.
 
Biashara ni nzuro sana coz haina hasara. Japo wakati wa kuanza inahitaji mtaji wa mkubwa kidogo.
 
mnachotaka kujua ni nini hasa ktk hii biashara?.....maana maelezo yalishatolewa ya kutosha na wadau mbalimbali hapa!
 
Back
Top Bottom