Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Tulia mkuu mambo yasiwe mengi utanikosesha msaada wa wajuzi.Huyu ndio wewe sasa
ππ75%kwa kusini ila yanakubali
Kuhusu namna ya ulimaji sijajua kama kuna utofauti kwa sababu niliona wakilima njombe huko ambapo wanalima kama mahindi ya kawaida .ππ
Pia namna ulimwaji wake unavyofanyika!! Maana nimesoma sehemu nyingi kwamba kuna utofauti na mahindi ya kawaida ila sijapata ufafanuzi wa huo utofauti.
Asante mkuu ngoja nasubiri kama nitapata mtu atakaenipa huo utofauti.Kuhusu namna ya ulimaji sijajua kama kuna utofauti kwa sababu niliona wakilima njombe huko ambapo wanalima kama mahindi ya kawaida .
πͺAsante mkuu ngoja nasubiri kama nitapata mtu atakaenipa huo utofauti.
π πUmeamua kuichafua ID yako,mwingine angekuja na ID mpya, lakini hongera kwa kuutua mzigo kwamaana maigizo yanachosha. kama nakuona vile ulivyokuwa unaandika na kufuta...ENEWEI hauna baya tajiri.
πππ Asante mkuu, ni kweli maigizo yanachosha kuna watu hunifata pm kuniomba msaada wa kifedha na hata kazi (wakiwa na matarajio ya juu kwamba nitawasaidia) nasubiri tarehe iniruhusu kubadili ID tu ikifika nairudia ID yangu ya mwanzo ya Kijana masikini.Umeamua kuichafua ID yako,mwingine angekuja na ID mpya, lakini hongera kwa kuutua mzigo kwamaana maigizo yanachosha. kama nakuona vile ulivyokuwa unaandika na kufuta...ENEWEI hauna baya tajiri.
πππHahahaha! Bora urudi, usije kuniponza. Nimekutazama kwa mda kidogo mpaka nikashawishika nami nije na new id "new boss in town",lakini kwa mkimbio huu,sitojaribu tena inaonekana kuna mateso sana huko. Tajiri Sina BAYA #HAUNA BAYA TAJIRI
Yaah ni hivyo mkuu.Hahahaha daah aise, yani umejiwekea vikwazo kama iran ilivyowekewa na wakubwa, mkuu hayo ni zaidi ya mateso,mda wote unapaswa kuwa makini kama CIA ili... Tajiri Sina BAYA #HAUNA BAYA TAJIRI.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hahahaha daah aise, yani umejiwekea vikwazo kama iran ilivyowekewa na wakubwa, mkuu hayo ni zaidi ya mateso,mda wote unapaswa kuwa makini kama CIA ili... Tajiri Sina BAYA #HAUNA BAYA TAJIRI.