Wajameni ninaomba mtu yeyote mwenye software/ au utaalam wa ku-protect CD/VCD/DVD zisiweze ku-kopiwa na wajanja wa mjini. Nina project ndogo ninayoifikiria kufanya hivo nahitaji kujua jinsi gani naweza kuprotect products zangu kwa kutumia software zinazo-mzuia mtu kukopy. Najua kuna taratibu nyingine za kisheria ( Copy Rights Rules), lakini kwa sasa zizungumzii hili.
Natanguliza shukrani zangu kwa wadau wote, thanks so much!!!!!!
email address: developtz@gmail.com