Msaada mwenye wimbo ya Dully Sykes-LEAH

Sijawahi Tumia App hivyo sijui ipoje mkuu.Ila nenda sehemu ya Typing jaribu kuangalia maana unaweza iona hiyo alama
Huwa haikubari ata picha tu inakataa kutuma
 
na mimi nikitaka kuupata naupataje boss?/
nitashukuru
 
Download videoder ila haipo play store
Utapata chochote unachohitaji hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…