Habari zenu? Nmekuwa na tatzo la kuskia vtu vinanichoma mwilini kama vile nachomwa na cndano au ktu chenye ncha Kali, na kuna wakat kiganja cha mkono wa kulia kuchezacheza yan kama vile una vibrate na pia napata muwasho mwilini na kuskia vtu vinanitembelea mwilin kama wadudu. Naomben msaada mwenye kujua Dawa anisaidie na Mungu awabariki