Msaada mwili kuchomachoma

tembocard

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
247
Reaction score
121
Habari zenu? Nmekuwa na tatzo la kuskia vtu vinanichoma mwilini kama vile nachomwa na cndano au ktu chenye ncha Kali, na kuna wakat kiganja cha mkono wa kulia kuchezacheza yan kama vile una vibrate na pia napata muwasho mwilini na kuskia vtu vinanitembelea mwilin kama wadudu. Naomben msaada mwenye kujua Dawa anisaidie na Mungu awabariki
 
Umewahi kutumia qinini
Hapana hospital nlienda wakanipma minyoo cna. wakanipa neuro support, vitamin B complex, cetrizen nmetumia lakn wap hamna nafuu yan mpak nmejikatia tamaa kwakwel
 
nenda hospitali wakupime damu, either chafu au kuna vitu vimepungua vinahitajika.

imewai kunitokea mm pia hiyo hali ya kuhisi kuchomwachomwa.
 
nenda hospitali wakupime damu, either chafu au kuna vitu vimepungua vinahitajika.

imewai kunitokea mm pia hiyo hali ya kuhisi kuchomwachomwa.
Hospital nmeenda ndugu yang wakanifanyia full blood pc wakaniambia cna tatzo wamenipma had minyoo cna sahv hospital yoyote ile nikienda wananpa vitamin B complex nmeznywa mpak nimechoka sion mabadiliko. Naomba nisaidie ww ulitumia nn ukapona ntakushukuru sana nateseka sana jaman najiona nishakuwa mzgo kla cku napelekwa hospital mm mpak naambiwa kla cku ww mgonjwa humalz kunywa Dawa ndan kote huku kunanuka Dawa nmeenda tena juz hospital wamenpa Mult vitamins na neuro support ndoniko hapa nameza japo neuro support nameza tu cna jinsi ila nmeznywa sana bla mafanikio toka mwaka Jana natumia neuro support, Ee Mung nihurumie
 
pole sana.

mimi niliambiwa nile mboga za majani kwa wingi, supu ya vegetables yenye mafuta kidogo, maji ninywe kwa wingi na niepuke sana jua likiwa kali nisijiExpose juani.


dawa walinipa lkn sikunywa japo walinisisitiza sana nizimalize, kwa upande wangu mm sio mmalizaji wa dozi hasa ikiwa madawa ya kumeza/kunywa.

pia hakikisha mazingira yanayokuzunguka yapo ktk hali itakayochangia ukuaji mzuri wa afya yako kwa ujumla.
 
Asante my ubarikiwe sana ushaur wako ntaufanyia kaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…