Msaada: Mwili kuwasha sana wakati wa joto

tosh17

Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
13
Reaction score
7
Mara nyingi nikiwa natembea sehemu za joto huwa napata muwasho wa ajabu saana na vilevile hata nikioga nakujifuta maji basi nitawashwa balaa. Naombeni mnisaidie maana nlishawah kwenda hospitali lkn skupata matibabu juu ya hili tatizo.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…