Msaada: Mwili wangu umekuwa ukikonda sana

Msaada: Mwili wangu umekuwa ukikonda sana

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
1,011
Reaction score
1,681
Habari WAkuu bila shaka muko salama

Moja kwa Moja kwenye mada kuna Ndugu yangu wa Karibu sana jana jioni wakati wa Mazungumzo alinishirika jambo lake akasema hivi "siku za Karibuni nimekuwa nakonda sana hadi nguo zangu zilizokuwa zinanibana zimeanza kuwa kubw atena Kwangu.

Nakula vizuri sina stress najiuliza hili ni tatizo gani ama ni ugonjwa gani,maana najiona nakonda tu" Kwa kumkadiria an mika kama 30 hivi na kuendelea. MSAADA
 
Akwambie dalili zingine anazoexperience...maybe ni sukari inamtafuta kwa Kasi ..akapime hiyo kwanza then apime na magonjwa mengine...achukulie serious iko siku inaweza mdondosha gafla.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
huna kazi huna biashara huna chanzo cha kipato unalala kwenu .......

lazima ukonde hata kama unakula vizuri kwa kifupi kama huna aman na moyo huna furaha unapoishi lazima ukonde.

kama unaishi mwenyewe na kazi unayo lbda mapenzi yanakutesa hakuna zaidi ya hayo.
 
kakondaje? au kawa km sepenga?

mwambie aache kuwanga usiku apate usingizi wa kutosha.
 
Habari WAkuu bila shaka muko salama

Moja kwa Moja kwenye mada kuna Ndugu yangu wa Karibu sana jana jioni wakati wa Mazungumzo alinishirika jambo lake akasema hivi "siku za Karibuni nimekuwa nakonda sana hadi nguo zangu zilizokuwa zinanibana zimeanza kuwa kubw atena Kwangu.

Nakula vizuri sina stress najiuliza hili ni tatizo gani ama ni ugonjwa gani,maana najiona nakonda tu" Kwa kumkadiria an mika kama 30 hivi na kuendelea. MSAADA
Ni simple tu mbona, kama hajawahi kwenda hospital kwa vipimo ni bora awahi atapata ushauri wa kitaalam huko maana siku hizi magonjwa mengi. Kama kifua kikuu na kansa ya mifupa pia nasikia inakondesha sana
 
Habari WAkuu bila shaka muko salama

Moja kwa Moja kwenye mada kuna Ndugu yangu wa Karibu sana jana jioni wakati wa Mazungumzo alinishirika jambo lake akasema hivi "siku za Karibuni nimekuwa nakonda sana hadi nguo zangu zilizokuwa zinanibana zimeanza kuwa kubw atena Kwangu.

Nakula vizuri sina stress najiuliza hili ni tatizo gani ama ni ugonjwa gani,maana najiona nakonda tu" Kwa kumkadiria an mika kama 30 hivi na kuendelea. MSAADA
Blood cancer, au Diabetes
 
Watu mnajua kutisha watu duuh!

Ivi mnajua kwa wenzetu ulaya huko mtu akinenepa ndo wanasemaga 'She must be going through a lot[hard-times], see - She even gained weight'
Kwa hiyo kwa upande mwingine unajuaje? labda huyo ndugu yako labda vile hana stress ndo maana anapungua!? Anyway hapa ni bongo na sio ulaya inaweza kuwa ni dalili mbaya au hata ugonjwa. Ajichunguze.
Lakini sitetei yeye kukonda, wala kunenepa tuitafute tu mantiki ya yeye kufanya hivyo kwanza.
 
Back
Top Bottom