JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,011
- 1,681
wani Mkuu umeumia kuileta mtandaoniAlikuomba ulete mtandaoni habari zake?
Ni simple tu mbona, kama hajawahi kwenda hospital kwa vipimo ni bora awahi atapata ushauri wa kitaalam huko maana siku hizi magonjwa mengi. Kama kifua kikuu na kansa ya mifupa pia nasikia inakondesha sanaHabari WAkuu bila shaka muko salama
Moja kwa Moja kwenye mada kuna Ndugu yangu wa Karibu sana jana jioni wakati wa Mazungumzo alinishirika jambo lake akasema hivi "siku za Karibuni nimekuwa nakonda sana hadi nguo zangu zilizokuwa zinanibana zimeanza kuwa kubw atena Kwangu.
Nakula vizuri sina stress najiuliza hili ni tatizo gani ama ni ugonjwa gani,maana najiona nakonda tu" Kwa kumkadiria an mika kama 30 hivi na kuendelea. MSAADA
Blood cancer, au DiabetesHabari WAkuu bila shaka muko salama