......, pamoja na mapungufu mengi katika kuandika kwako, nimekuelewa. Chuo kinaitwa The Mwalimu Nyerere Memorial Academy.
Kuhusu unachouliza: je ni post za kazi au selection kwa wanafunzi tarajiwa.
Ikiwa ni moja kati ya hayo, jipe muda wa kusoma kile unachoandika kabla ya kupost. Utalaumu waalimu kwa makosa yako ya kisarufi. BTW, kwanini usitafute remedial class ukajifunza kuandika kiufasaha maana naona umehamasika kujifunza