Msaada mwuce

Msaada mwuce

Jaman mwenye majina ya MWUCE aniangalizie JACKSON BARNABAS (Bachelor of Education in Science)
 
Mliochaguliwa mwuce karibu sana, mazingira yako poa sana na malecture wakutosha tu, ila mjiandae maana msuli wake ni hatari, hasa wa math & stats sup nje nje. Ni branch kongwe ya saut mkoa wa kilimanjaro
 
Back
Top Bottom