LUSAJO L.M.
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 272
- 129
Ndugu swali lako unapoamua kuliweka hapa kwanza unakuwa unavunjia heshima structure nzima ya jamii forums haswa hao waliokupa hiyo email cha kwanza kufanya ni kuwasiliana nao kwanza kwa njia zenu ambazo mlipeana -- lakini kwa kuanza hapa naona umekosea heshima kama ingekuwa umekula kiapo basi umetapika -- kuna wahusika wa jambo hilo

Dah,Taratibu Shy, kuuliza si ujinga. Ungempa maelekezo tu na sio kusema amevunja heshima. kwenye JF kuna wadau wa proffesionals tofauti tofauti. Lusajjo anaweza kuwa ni Daktari na wewe Shy unaweza kuwa ni mtu wa IT. kwa kifupi tunategemea michango kama ilivyo kwa wana JF wengine.