Msaada mzizimkavu na wengineo pitia hapa

Msaada mzizimkavu na wengineo pitia hapa

FALSAFA

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
293
Reaction score
58
jamani ngozi ya figo ya kuna mabaka na miwasho inayoambatana na maumivu pamoja na mikuno piya naomba msaada wenu.nini kifanyike?
 
Samahani ngozi ya figo umewezaje kuiona?ipo sehemu gani na mie nijichunguze?
 
duh huo ugonjwa hatari sana ngoja nipite
 
Mmmh..binafsi sijakuelewa ngozi ya figo umeionaje?rudia kuandika vizur.
 
Kila Mwanadam Ana Figo Mbili Moja Kulia Na Kushoto Katikat Kna...na Kila Mwanadamu Ana Ngozi Ilifunka Mwili Wake Kwaajili Ya Kujinga V2 Mbalmbal.katka Iyo Meenda Mpaka Kufunka Figo 2 Kuaiyo Kun Miwasho Najikunaga Kenye Ngoz Kna Maumiv Nijkunapo.kwaiyo Msaada Kenu WanaJF Kama Huna Swagga Ya Kitiba Acha Umbeya Au Uruvuma.
 
Back
Top Bottom