Msaada: Mzunguko wake wa hedhi unabadilika kila mwezi, je nitawezaje kumpa mimba?

Msaada: Mzunguko wake wa hedhi unabadilika kila mwezi, je nitawezaje kumpa mimba?

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
22,532
Reaction score
6,624
Habarini wana jf! Mery xmass! Wakuu nina mpnz wangu ambae kwenye mfumo wa Mp hana specific time ya brid, yaani tarehe zinabadilikabadilika, mfano mwezi November alipata siku zake kuanzia tar. 14-18, halafu mwezi dec kaanza tar. 23, je nifanyeje ili niweze kumpa mimba? Maana kama nilivosema siku zake ninabadilikabadilika. Asanteni na karibuni kwa mawazo na ushauri.
 
Akishaanza siku zake mwache mpaka amalize, akimaliza pumzika ukiandaa nguvu za mwili wako, kuanzia siku ya 14 tangu aache siku zake ndiyo uanze kumgegeda. Kama tatizo linaendelea jaribu kufanya uchunguzi iwapo mbegu zako ni salama na kama yeye pia uzazi wake ni salama. Hiyo kuwa na siku zisizofuata ratiba maalumu ni tatizo na linatibika unaweza kunitafuta nimpe dawa.
 
Mkuu uliecomment hapo juu umekosea kidogo ni siku ya 14 toka aanze kuona siku,hata hivyo anaweza kuanza siku ya 10 toka aanze kuona siku hizo siku kuanzia ya 10 hadi 18 anaweza kushika ujauzito
 
Mkuu uliecomment hapo juu umekosea kidogo ni siku ya 14 toka aanze kuona siku,hata hivyo anaweza kuanza siku ya 10 toka aanze kuona siku hizo siku kuanzia ya 10 hadi 18 anaweza kushika ujauzito

Mbona nimeandika kuanzia siku ya 14 hivyo hivyo au wewe unasoma nimeandika siku ya ngapi? mimi mke wangu nilimpa mimba kati ya siku hizo.
 
Huyo mwezio anakuywa vidonge vya majira vya kuzuia mimba ndo maana siku zake zinabadilikabadilika hofu yangu ni kuwa unaweza ukawa una twanga maji kwenye kinu !

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Akishaanza siku zake mwache mpaka amalize, akimaliza pumzika ukiandaa nguvu za mwili wako, kuanzia siku ya 14 tangu aache siku zake ndiyo uanze kumgegeda. Kama tatizo linaendelea jaribu kufanya uchunguzi iwapo mbegu zako ni salama na kama yeye pia uzazi wake ni salama. Hiyo kuwa na siku zisizofuata ratiba maalumu ni tatizo na linatibika unaweza kunitafuta nimpe dawa.
Hapo sasa anatafuta mtoto wa mganga!!!!
 
Unavyouliza ni kama unatafuta jibu vice versa ya swali lako, una wasiwasi utambokoa mimba kwasababu siku zake hazisomeki.
 
unahesabu tangu siku ya kwanza (aliyoanza bread) ikifikia siku ya 11 mkisex mimba hutungwa. mf akianza tareh 14 Nov kummimba ungeanza tar 24 hadi 27 Nov
 
unahesabu tangu siku ya kwanza (aliyoanza bread) ikifikia siku ya 11 mkisex mimba hutungwa. mf akianza tareh 14 Nov kummimba ungeanza tar 24 hadi 27 Nov

Duh!!!!! aliyoanza bread!!!! Hii kali.
 
Huyo mwezio anakuywa vidonge vya majira vya kuzuia mimba ndo maana siku zake zinabadilikabadilika hofu yangu ni kuwa unaweza ukawa una twanga maji kwenye kinu !

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
mkuu lakini kanihakikishia kuwa hatumii dawa za majira hata kidogo!
 
Unavyouliza ni kama unatafuta jibu vice versa ya swali lako, una wasiwasi utambokoa mimba kwasababu siku zake hazisomeki.
hapana mkuu, yeye amedhamiria kupata mimba akiwa kwao, coz familia yao iko vizur kifweza!
 
Mimi mwenyewe gal wangu anabadilika badilika sana siku zake na tunaitaj mtoto... cha kushangaza tukifanya siku zake za Ovulation period yake inabadilika... kama alipata tarehe 16 itaenda hadi tarehe 19 had 20... mwezi wa sita alishika mimba ikachomoka bado changa.... guys naomben ushauri
 
Umeoa au unataka mtoto WA zinaaa????
mkuu, coz ni mpenz wangu wa siku nyingi, yeye yuko tayar kupata mimba akiwa kwao, maana maisha kwao ni mazuri, ingawa pia natambulika kwao!
 
Naishi na mwanamke mwaka wa 3 kwa sasa tatizo huyu mwanamke imekua ngum kunasa mimba kabla cjaishi nae 2005 nilikua na garlfrend nikampa mimba bahat mbaya mtoto akafa 2007 nikawa na garlfrend mwingine akapata mimba akajifungua salama now kijana yupo std 1 so 2012 ndo nikampata huyu kwa kua nilikua na mtoto nikaamua nioe mwanamke mwenye mtoto kiukwel ana mtoto mmoja kwa kua alikua anatumia uzaz wa mpango nilimkataza akaacha alikua anatumia sindano tulikaa mwaka na nusu bila kupata mtoto nilijisika vbaya nilipata dem kisiri nikaamua kuzaa nae mtoto mwingine sasa naishi sina raha huyu mke wangu natamani apate mtoto nimempeleka hospital wakasema mirija ya uzaz upande wa kushoto imeziba nilitumia garama kumpa matibabu imeendelea ikawa hapati mzunguko wake wa hedh ipasavyo mwez huu anaeza enda tarehe 2 mwez huo huo tarehe 26 akaenda mwingine 15 mwingine 30 yaan sielew akaenda hospital akapewa dawa n za garama kweli bado leo naona tena kaingia hedhi hapa ni nn tatizo ushauri jaman nifanyeje nahitaj mtoto sana na Huyu mke wangu
 
Back
Top Bottom