nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
Mkuu uliecomment hapo juu umekosea kidogo ni siku ya 14 toka aanze kuona siku,hata hivyo anaweza kuanza siku ya 10 toka aanze kuona siku hizo siku kuanzia ya 10 hadi 18 anaweza kushika ujauzito
Hapo sasa anatafuta mtoto wa mganga!!!!Akishaanza siku zake mwache mpaka amalize, akimaliza pumzika ukiandaa nguvu za mwili wako, kuanzia siku ya 14 tangu aache siku zake ndiyo uanze kumgegeda. Kama tatizo linaendelea jaribu kufanya uchunguzi iwapo mbegu zako ni salama na kama yeye pia uzazi wake ni salama. Hiyo kuwa na siku zisizofuata ratiba maalumu ni tatizo na linatibika unaweza kunitafuta nimpe dawa.
Binadamu tupo tofauti kimaumbile. Njia rahisi ni kazi kuanzia anapoacha kutumia unaendelea kila siku.Mbona nimeandika kuanzia siku ya 14 hivyo hivyo au wewe unasoma nimeandika siku ya ngapi? mimi mke wangu nilimpa mimba kati ya siku hizo.
unahesabu tangu siku ya kwanza (aliyoanza bread) ikifikia siku ya 11 mkisex mimba hutungwa. mf akianza tareh 14 Nov kummimba ungeanza tar 24 hadi 27 Nov
mkuu lakini kanihakikishia kuwa hatumii dawa za majira hata kidogo!Huyo mwezio anakuywa vidonge vya majira vya kuzuia mimba ndo maana siku zake zinabadilikabadilika hofu yangu ni kuwa unaweza ukawa una twanga maji kwenye kinu !
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
teh teh,mbona ni shughuli? Inawezekana kweli ukamgegeda mwanamke siku zote?Binadamu tupo tofauti kimaumbile. Njia rahisi ni kazi kuanzia anapoacha kutumia unaendelea kila siku.
hapana mkuu, yeye amedhamiria kupata mimba akiwa kwao, coz familia yao iko vizur kifweza!Unavyouliza ni kama unatafuta jibu vice versa ya swali lako, una wasiwasi utambokoa mimba kwasababu siku zake hazisomeki.
mh ana miaka mingapi huyo? maana kulea mtoto siyo issue ya hela tu!!hapana mkuu, yeye amedhamiria kupata mimba akiwa kwao, coz familia yao iko vizur kifweza!
mkuu, coz ni mpenz wangu wa siku nyingi, yeye yuko tayar kupata mimba akiwa kwao, maana maisha kwao ni mazuri, ingawa pia natambulika kwao!Umeoa au unataka mtoto WA zinaaa????
mkua ana miaka 25 sasa!mh ana miaka mingapi huyo? maana kulea mtoto siyo issue ya hela tu!!