Msaada na hali ya ujauzito wangu

kim suwon

Member
Joined
Jul 2, 2018
Posts
15
Reaction score
43
Habar ndugu zangu, natokwa na uchafu mweusi ukeni nilipata shida ya kubleed nikaambiwa mtoto yupo vzr na Hamna shida yeyote ila sasa tangu Jana naona natokwa na uchafu mweusi kabsa ukeni nikienda kujisaidia na tumbo linauma chini ya kitovu cjui shida ni nn..ujauzito wangu una 16weeks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeenda Jana tu ndugu yangu naambiwa hamna shida yani dah

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui ulienda hospitali gani ila nakushauri acha kwenda dispensary za mitaani mara kwa dr nani sijui nenda hospitali inayoaminika.

Kuna bidada mmoja ashakua na ishu kwenye ujauzito wake akaenda kwenye hizi clinic za madakatari wa mitaani wasio hata na taaluma na wakamwambia kwamba yupo salama tu na mtoto hana shida. Siku zinaenda na mambo yanazidi kuwa ovyo akaenda hospitali akaambiwa mtoto alishakufa mda so process za kumsafisha zikaanza.

Stori yote hiyo ni mfano hai uliotokea na lengo ni kukutahadharisha juu ya majibu ya hivi vituo vya afya vya mitaani. Umeenda jana na walifanya vipimo gani ili kukupa majibu hayo? Hawezi kusema hamna shida wakati kitu kinachotokea hapo kinaonesha kwamba kuna sehemu kuna tatizo maana sio kitu cha kawaida kutokea kwa wajawazito hasa uchafu huo mweusi labda capacity yake ya kufanya diagnosis imeishia hapo

Subiri ushauri zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu nimemwuliza, mke wake alikuwa na tatizo kama lako, kasema ni hali huwa unatokea lkn hakuna shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchafu mweusi kipindi mwanamke ni mjamzito huwa ni clotting blood ambayo huonekana red ikawa haija clote akini ikiclote inakuwa dark pia viginal discharge inaweza kuletwa fungal infenctions yaan viginal candidiasis nikutokwa na uchafu ambao unarangi ya maziwa kama mgando but ikiwa kwa mda sana inaweza kuchange rangi swali inatoa harufu ...

Wamekupima VDRL kipindi cha clinics ....

Wamepina urine for analysis kurule out UTI and pelvic inflammatory diseases ....

Na wamekupa dawa gani mpka sasa ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamenipima ndio na majibu yalionyesha kila kitu kipo Sawa nilipoanza kubleed nikienda hospital kuonana na specialist kabisa baada ya kuchukua vipimo na damu pia mkojo majibu yalikuja sina shida yeyote nikapima ultrasound Mara mbili tena trh 11 na trh 16 mwezi huu pia ikaonekana viable sijui na mtoto yupo vzr, sema sasa ndio imebaki hii hali ya huo uchafu mweusi Jana nimeenda tena hospital nimeambiwa hamna shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pole sana.
Nakushauri huwahi hospitali ukakutane na wataalamu.
 
Pole sana dada

Kama majibu yanaonyesha hakuna shida basi huenda ni uchafu wa damu unatolewa huo maana mwili nao una namna yake ya kutoa uchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…