coockie monster
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 373
- 724
Habari wakuu
Mimi kijana mwenzenu katika harakati za maisha na kutafuta nilipata na kuumia sana hatimaye nikapata idea ya kibiashara cha mtaji mdogo,bimkubwa wangu alikua mtaalamu sana wa kupika kwaiyo nikamwambie tujaribu biashara ya visheti vitamu sana na vizuri niwe navisambaza na kuviuza.
Kweli akafanikiwa kupika na nikaanza kwa kumpa mdogo wangu wa shule ya msingi visheti awe anauza shuleni huku huku mimi navisambaza dukani hapa mtaani na vingine tunauzia hapa home..namshukuru mungu biashara inaenda vizuri sana sababu ya ubora na utamu wa hivi visheti kwani nilimwambia bimkubwa avitengneze kwa ubora bila kuvinyima kitu.
Sasa nilikua nahitaji msaada wenu nataka niviupgrade viwe na packaging nzuri ya kuvutia ili nivitanue kibiashara kwani nimeona mafanikio yake?nataka kujua nianzie wapi ?na inahitajika bei gani?na kama unataka hata kuchangia katika biashara hii au una idea yoyote ile ili kuifanya ikue utasaidia sana..nashukuru sana wakuu
Vinafaa kwa kahawa,chai nk