kamjabari
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,144
- 1,668
Siku ya pili leo analalamika kujisikia maumivu kwenye kiungo chake cha uzazi, yaani ikifika jioni kitunguu chake kimoja kinauma (pumbu) na maumivu kuelekea kwa ndani.
Kwa madaktari au wazoefu kabla ya kwenda hospitali ni nini hiyo?
Natanguliza shukrani zangu.
Kwa madaktari au wazoefu kabla ya kwenda hospitali ni nini hiyo?
Natanguliza shukrani zangu.