Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Hello Team JF.Naombeni msaada wa kuagiza vitu vya umeme wa nyumbani kutoka China. Kwa bei ya jumla na kuja kuuza hapa .wapi nitapata suppliers, usafirishaji na kodi inakuaje?
Bulb ,watts 3
Na kuendelea mpaka 15
Socket
Switch
Na vitu Vingine.
Ndio nataka kuanza hii biashara .
God bless you.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ? Mafindozii hutatuletea corona kweli wewe? Wachina wanaweza kufungasha furushi la Corona kama elfu 10 hivi (kwa mujibu wa watu wa Dodoma) ili watuletee huku kwetu! Jokes,, Mkuu tafuta kule kwenye jukwaa la biashara kuna raia anaitwa Kipilipili anaweza kukusaidia sanaHello Team JF.Naombeni msaada wa kuagiza vitu vya umeme wa nyumbani kutoka China. Kwa bei ya jumla na kuja kuuza hapa .wapi nitapata suppliers, usafirishaji na kodi inakuaje?
Bulb ,watts 3
Na kuendelea mpaka 15
Socket
Switch
Na vitu Vingine.
Ndio nataka kuanza hii biashara .
God bless you.
Sent using Jamii Forums mobile app