cc12
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 1,018
- 396
Habari Wakuu
Mim mwili wangu ni mwembamba sana na nashindwa hata kuvaa kaptula kutokana na miguu kuwa miembamba kupita maelezo nilianza mazoezi nina kama mwezi sasa change iko lakin ndog sana na ninaiona baada ya kufanya zoezi yani muscles kuvimba na nikiacha miguu inarudi vile vile hata kwa siku tatu,, nikagoogle nikakutana na Body supliments powders kama L-carnitine (protein in nature) na zingine ambazo kazi yake ni kukuza misuli mana niliwah kusikia kuna tym inafika misuli haikui tena ivyo wanatumia hivi vitu kukuza misuli ss mim nimekuja hapa naomben ushauri natamani sana kupata mwili na pia sitaki kupata matizo yeyote kwa upande wa kiafya naomb kuelezwa athari za hii dawa pamoja ushauri
Nawasilisha wakuu ntashukuru kwa msaada wenu.