Msaada na Ushauri kuhusu body suliments powders.

cc12

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
1,018
Reaction score
396
Habari Wakuu

Mim mwili wangu ni mwembamba sana na nashindwa hata kuvaa kaptula kutokana na miguu kuwa miembamba kupita maelezo nilianza mazoezi nina kama mwezi sasa change iko lakin ndog sana na ninaiona baada ya kufanya zoezi yani muscles kuvimba na nikiacha miguu inarudi vile vile hata kwa siku tatu,, nikagoogle nikakutana na Body supliments powders kama L-carnitine (protein in nature) na zingine ambazo kazi yake ni kukuza misuli mana niliwah kusikia kuna tym inafika misuli haikui tena ivyo wanatumia hivi vitu kukuza misuli ss mim nimekuja hapa naomben ushauri natamani sana kupata mwili na pia sitaki kupata matizo yeyote kwa upande wa kiafya naomb kuelezwa athari za hii dawa pamoja ushauri

Nawasilisha wakuu ntashukuru kwa msaada wenu.
 
Protein supplements nyingi hazina madhara kwa sababu ni protein za kawaida kabisa kwenye chakula ambazo zimekuwa concentrated vya kutosha kukupa mtumiaji faida.
L-carnitine ni protein ambayo hutumika kusafirisha fatty acids kwenda kwenye cells kutengeneza energy. Hizi ni nzuri kwa wenye mafuta mengi/mabonge ambao wanajenga msuli kwani hufanya yale mafuta yachomwe ili misuli ipate nguvu.

Wewe na mimi tuna tatizo moja. Mi nashauri utafute Mass gainers ambazo zinakusaidia wewe kupata calories za kutosha kujenga msuli.
Mimi sijanunua bado ila nina mpango wa kuunganisha mass gainer na mazoezi ya mwili
 

Asante sana mkuu hapo nitakuwa nimekuelewa sana kwa upande wangu sina mafuta hata kidog mpk hapa umenifungua sana kaka shukrani sana mkuu
 

Asante sana mkuu hapo nitakuwa nimekuelewa sana kwa upande wangu sina mafuta hata kidog mpk hapa umenifungua sana kaka shukrani sana mkuu

Usihofu. Kwa sisi watu wembamba wengi utakuta tuna metabolism kubwa i.e mwili upo active na unashughulikia chakula fasta kwa ajili ya cells kufanya kazi (catabolism) na kidogo sana kinatumika kujenga mwili (anabolism).
Jitahidi kula vyakula venye calories nyingi kama parachichi, karanga, nyama n.k
Lengo kubwa ni kuupa mwili calories za kutosha ili uanze kujikita zaidi kwenye anabolism (kujenga misuli na tissues)
 
Hahahah mkuu hapo kwenye karanga kidog mtihani sintakuwa kila siku napiga bao amna niko shule uboyzin huwa sizipendi kuwa minajili ya kuwa zinazalisha sana mbegu za kiume

lakin hapo kwenye parachihi nimekusoma sana kaka,kingine sas ndo nimepata dawa alafu body imekuwa mpk kwa kiwango ninachotaka nikacha sitaporomoko na kurudi kamanilivyokuwa awali yani mwembamba?
 
Kuna vyakula vingi vyenye calories nyingi. Unaweza google.
haishauriwi kuacha mazoezi. Pindi utakapoacha kuna chemical inaitwa myostatin inatengenezwa kwa wingi na misuli na hii hupunguza kasi ya kujenga misuli na uongeza kasi ya uvunjwaji na hivyo unapungua.
kuwa fit kiafya ni lifetime commitment.
 

Mkuu sina maana ya kuacha mazoezi hapana yani hizo supliments mana nahisi japo sijui kivile the more you take supliment the higher you build your muscles???

Swala la mazoezi huwa naliita conties assmesnt halina kuachwa japo kuna kudoji iv siku moja mbili tatu kama mambo ya kibana hapo utakuwa umenisoma kaka.
 
Supplements unaweza kuacha. Kwa sababu supplements lengo lake ni kukusaidia kuleta mabailiko ya mwili wako kutoka aina moja kwenda nyingine. Ila kumaintain gains ni mazoezi na msosi mzuri wa afya labda kama huwezi kupata msosi mzuri hapo mbeleni ndio utumie
 


Sasa mkuu hizi naziona ziko nyingi nimejaribu kugoogle na naona range ya bei yake ni less than 100 USD mkuu nisaidie ipi iko fresh mkuu
 


Sasa mkuu hizi naziona ziko nyingi nimejaribu kugoogle na naona range ya bei yake ni less than 100 USD mkuu nisaidie ipi iko fresh mkuu
Mi nazifahamu mass gainer fulani anauza mhindi fulani anafanya kazi pale Sparta gym. Bei zake ndio hizo. Mimi naenda kununua ya 180,000
 
Mi nazifahamu mass gainer fulani anauza mhindi fulani anafanya kazi pale Sparta gym. Bei zake ndio hizo. Mimi naenda kununua ya 180,000


Sawa mkuu ukipata hilo jina utanipm ili na mim ni nunue niko arusha naweza kupata kwenye haya maduka yetu huku kama sitopata ntakucheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…