Msaada na ushauri kutoka kwenu madaktari juu ya hili

Msaada na ushauri kutoka kwenu madaktari juu ya hili

shamika

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
200
Reaction score
26
Mimi huwa nikiumia sana basi nyama inakua pare nilipoumia yaan hii hali yanitesa sana inaniaribia mwonekano WA mwili wangu kitalamu hivi vinyama wana viita kiloidi sasa nifanyeje maana nilitakaga kwenda kufanya upasuaji watu wakanambia ndiyo vitakuja kukua zaidi je nifanyaje
 
Mkuu hospital ndio unaweza pata msaada zaidi. Au jaribu kufanya uchunguzi/vipimo labda kuna ugonjwa mwingine unaosababisha hili
 
Mkuu hospital ndio unaweza pata msaada zaidi. Au jaribu kufanya uchunguzi/vipimo labda kuna ugonjwa mwingine unaosababisha hili
Nilishaga JARB kuzngmza na daktr mmja pale singida refferal akanambia kuna 2 kufnikiwa au kutofanikiwa
 
Back
Top Bottom