Msaada na ushauri tafadhali!

Msaada na ushauri tafadhali!

KASEHUYE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
299
Reaction score
60
Kuna kozi za IT na Business za "NCC EDUCATION" zinazotolewa hapa Tanzania na vyuo kama IIT, Learnit na Institute of Management and Information Technology vyote vya jijini Dar.

Napenda hasa kujua ubora wa kozi hizi na tofauti ya kozi hizo na kozi za hapa kwetu kwasababu kozi hizo ni za mwaka mmoja mmoja.
Ahsanteni sana
 
Back
Top Bottom