Kuna rafiki angu wa karibu sana amepata tatizo anasema akiamka asbh anakuta kuna kama usaha kwenye kichwa cha uume wake ameenda hospital ameeambiwa mkojo mchafu akachomwa sindano na kuna vidonge amepewa anatumia anasema karibia dozi inaisha lakini tatizo lipo bdo
nimejaribu kumpeleleza anasema alifanya mapenz na mkewe siku ya mwisho wakati anamaliza blid bila kujua kama bado hajamalizia vizuri