Msaada na ushauri wako unahitajika

bCg

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
438
Reaction score
900
Nina matatizo ya kiafya ya mifupa ya uti wa mgongo na sehemu za mabega. Tangu mwezi wa 12/2013, mara baada ya kupata ajari.

Mwezi wa 8/2014 nimeomba uhamisho ili kuwa karibu na huduma za kimatibab,Afsa Elimu Wilaya na Mkurugezi wilaya wamenikataria, licha ya kwaza,wao kulijua tatizo langu la kupata ajari.

Na nimewapelekea vielelezo vyote vya matibabu na barua ya Daktari ya kuthibitisha kuwa karibu na hospitari ya mkoa kwa ajiri ya kufanyishwa mazoezi.

Je,
1.kuna ngazi ipi ya juu ambayo naweza kusikilizwa na kusaudiwa ili hawa jamaa wanikubalie?

2.Au nifanye nini ili waniruhusu?

NAOMBA USHAURI WAKO.
 
Kama we ni mwalimu nenda tawi la CWT upeleke hoja zako ukiona wanazingua fika Dsm makao makuu ya CWT watakusaidia sana maana ukisema uende Tamisemi mwenyewe utapata usumbufu na pia attention itakua ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…