Msaada na ushauri

Mike 1234

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
1,633
Reaction score
155
Jamani naomba ushauri,jongoo anapanda mtungi mara moja tu tena dakika 3 kurdia mpaka kesho yake.jamani kero naomba msaada
 
Jamani naomba ushauri,jongoo anapanda mtungi mara moja tu tena dakika 3 kurdia mpaka kesho yake.jamani kero naomba msaada
Usiofu mkuu,madocta wanakuja kumwaga ushauri hapa....pia waweza search kuna thread nyingi hapa zenye mawazo yanayoweza kukusaidia hapa kaka...
 
mkuu una mawazo mengi? unafanya kazi ngumu? kama haya yote huna inabidi ukacheck magonjwa kama ya kisukari! pia kabla ya mapenzi lazima utulie, usiwe na pupa. mapenzi siku zote ni psychology. akikisha mke wako pia anjishughulisha katika kufanya mahaba! kama goli la kwanza ni dk 3 tatu ni hali ya kiphysiology ya mwanadamu, baada ya hapo unaweza endeleza mapambano zaidi.
ushauri.
fanya mazoezi mara kwa mara
epuka vyakula vya sukari
epuka pombe
kula karanga kwa wingi
angalia mara kwa mara picha za ngono,
kama una pressure ongea na dk wako kama unatumia dawa za B-blockers akubadilishie kwani hupunguza nguvu za kiume
 
Usiofu mkuu,madocta wanakuja kumwaga ushauri hapa....pia waweza search kuna thread nyingi hapa zenye mawazo yanayoweza kukusaidia hapa kaka...
Thankx mzee ila kuna jamaa kanitukana hapo juu natafuta jinsi gani wahusika wanaweza kumpa adhabu ikiwezekana kuzuia mada zake kwa 3week hivi hafai na hafananii wanajf
 
Asante sana kwa ushauri hapo penye red nafikiri ndilo tatizo maana nipo busy kiasi kwamba kuna wakati nikisikia simu inaita napatwa na kichefuchefu,du asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…