NZURI PESA JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 5,958 Reaction score 2,954 Jul 24, 2014 #1 Wakuu wana jf msaada na ushauri wenu.Nina mdogo wangu yeye ana vyeti vya taaluma ya Early Childhood na Community Development.Anahitaji kujiunga Diploma je asome ipi kati ya DIPLOMA IN EARLY CHILDHOOD au DIPLOMA IN COMMUNITY DEVELOPMENT? Msaada wakuu
Wakuu wana jf msaada na ushauri wenu.Nina mdogo wangu yeye ana vyeti vya taaluma ya Early Childhood na Community Development.Anahitaji kujiunga Diploma je asome ipi kati ya DIPLOMA IN EARLY CHILDHOOD au DIPLOMA IN COMMUNITY DEVELOPMENT? Msaada wakuu