Msaada: Naambiwa nikachukue Cheti cha Kifo mkoa mwingine nami nipo mkoa mwingine, nafanyaje kukipata?

Msaada: Naambiwa nikachukue Cheti cha Kifo mkoa mwingine nami nipo mkoa mwingine, nafanyaje kukipata?

bitabo23

New Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Habari ya majukumu,

Mimi niliomba cheti cha kifo cha mzazi, majibu yametoka ‘fika ofisi za RITA Bukoba Kagera uchukue cheti chako’, nami kwasasa niko Arusha

Naweza kufanyeje Ili nipate nakala ya cheti hicho?

Asanteni kwa msaada wenu 🙏🙏
 
Nenda mkoa mwingine kabisa utakioata
 
Habari ya majukumu,

Mimi niliomba cheti cha kifo cha mzazi, majibu yametoka ‘fika ofisi za RITA Bukoba Kagera uchukue cheti chako’, nami kwasasa niko Arusha

Naweza kufanyeje Ili nipate nakala ya cheti hicho?

Asanteni kwa msaada wenu 🙏🙏
pole kwa changamoto,ila nenda kwa Mwanasheria akutengenezee POWER OF ATTORNEY alafu umpe ndugu yako hiyo nakala na ataweza kukuchukulia hiko cheti cha kifo cha mpendwa wenu.
 
Cheti cha Kifo kinatolewa mkoa aliofia marehemu if I am not mistaken.Details ulijaza na kutuma Rita kuna vitu unatakiwa uwe serious navyo Grow up Man
 
Back
Top Bottom