Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu wataalam mbalimbali naombeni mnisaidie notes juu ya tittle hiyo juu ili niandika propasal.Nitumiena hata pamphlets na vitabu mbalimbali vyenye natisi za vita ya Kagera.Natanguliza shukurani na Mungu awalinde.
Kayabwe: Unaendeleaje na research yako? Uko wapi hapa Tanzania, mimi nipo Dar es Salaam. Nasaidia watu kwenye kuandika research proposals/dissertations n.k. Kwa malipo kidogo. Kwa bahati nzuri wakati wa vita hiyo mimi nilikuwa Bukoba mjini na naifahamu sana vita hiyo. Kama uko tayari tuwasiliane kwenye PM yangu
Tayari ana variables mbili ambazo ni Kagera war (Independent variable) na social and environmental effects (dependent variables), ila anaweza kuangalia jinsi ya kuweka title yake vizuri zaidi, ushauri mwingine uliompa ni mzuri sana na ni wakiakademia sana. Kufanya intense literature review hakuepukiki na muhimu ili kujua kweli anafanya tatizo jipya au la! lakini itamsaidia contextualize na kushape tatizo lake katika kulisema (Problem statement) na hata kupendekeza research methodology sawia kwa tatizom lake.ni proposal ya nini? ya kuombea Fund kwa Wafadhili, or ni Academic (for MA/PhD)? kama ni academic title haijakaa vizuri coz at least uwe na independent variable(s) na dependent variable na useme unaifanyia eneo gani utafiti wako (Locale). Ushauri wangu befre hujaamua kuchagua title fanya Literature Review ya kutosha then automatically title itakuja baada ya ku-identify gap (from scholarly journal articles, PhD/MA thesis, books). kwa msaada zaidi u can contact me via andreakalima@gmail.com
Kayabwe: Unaendeleaje na research yako? Uko wapi hapa Tanzania, mimi nipo Dar es Salaam. Nasaidia watu kwenye kuandika research proposals/dissertations n.k. Kwa malipo kidogo. Kwa bahati nzuri wakati wa vita hiyo mimi nilikuwa Bukoba mjini na naifahamu sana vita hiyo. Kama uko tayari tuwasiliane kwenye PM yangu
Mkubwa msaidie jamaa, pengine hana hela, ukimwandikia kwa kumtoza fee (ni sawa kwako lkn ni mbaya kwake, siku akitaka kukuomba kazi ya kufanya utasema research yake ilipikwa- yaani yeye hajui!)