Msaada naandika research propasal on ''the social and environmental effects of kagera war 1978-1979.

Kayabwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
385
Reaction score
86
Ndugu zangu wataalam mbalimbali naombeni mnisaidie notes juu ya tittle hiyo juu ili niandika propasal.Nitumiena hata pamphlets na vitabu mbalimbali vyenye natisi za vita ya Kagera. Natanguliza shukurani na Mungu awalinde.
 
madhara ya vita yanafanana, refer to Iraq, DRC, Libya, Japan etc huku ukichekecha ubongo utapata kitu kimesimama.
 
ni proposal ya nini? ya kuombea Fund kwa Wafadhili, or ni Academic (for MA/PhD)? kama ni academic title haijakaa vizuri coz at least uwe na independent variable(s) na dependent variable na useme unaifanyia eneo gani utafiti wako (Locale).

Ushauri wangu befre hujaamua kuchagua title fanya Literature Review ya kutosha then automatically title itakuja baada ya ku-identify gap (from scholarly journal articles, PhD/MA thesis, books). kwa msaada zaidi u can contact me via andreakalima@gmail.com
 
Nashukuru Andrea kalima,ni ya academic bachelor na eneo la utafiti ni missenyi-kagera,nisaidie kaka.Asante.
 
Okay Kayabwe we niandikie email through andreakalima@gmail.com then tutasaidiana. binafsi nafurahi nikiona vijana wa aina yako mwenye kujibidisha hasa kwenye masomo kama nilivyokueleza sitaki nikufanyie kazi mimi bali mi nitakusaidia kwa kukuelekeza na kukutumia materials ikibidi BURE. Anza na Literature review at least andika hata page 3 ukionyesha authors/scholars wengine wanasema nini kuhusu area yako War/ inter-state conflicts at global level, uje Middle East then Africa (try to cite literature za West Africa, Great Lakes Regions, Horn of Africa (then Kagera War). ukimaliza nitumie kwa email.
 
Interesting! Unaweza kwenda library ya mkoa na watakupeleka archive ambapo utapata materials tu. Usisahau kupita makumbusho ya taifa pia.
Kila la kheri.
 
Ndugu zangu wataalam mbalimbali naombeni mnisaidie notes juu ya tittle hiyo juu ili niandika propasal.Nitumiena hata pamphlets na vitabu mbalimbali vyenye natisi za vita ya Kagera.Natanguliza shukurani na Mungu awalinde.

Kayabwe: Unaendeleaje na research yako? Uko wapi hapa Tanzania, mimi nipo Dar es Salaam. Nasaidia watu kwenye kuandika research proposals/dissertations n.k. Kwa malipo kidogo. Kwa bahati nzuri wakati wa vita hiyo mimi nilikuwa Bukoba mjini na naifahamu sana vita hiyo. Kama uko tayari tuwasiliane kwenye PM yangu
 
Kama ni vigumu kwako kupata literatures, utaweza kweli fanya research? Nashauri tumia mtandao pia kupata materials.
 

Madiba hivi kuna watu wako specific mpaka kuandikia wengine research? Sasa unamsaidia au unamlemaza?
 
pitia pale jkt ya iringa-mafinga, utapata watu wa kukusaidia kupata emprical LT rewiew..
 
Tayari ana variables mbili ambazo ni Kagera war (Independent variable) na social and environmental effects (dependent variables), ila anaweza kuangalia jinsi ya kuweka title yake vizuri zaidi, ushauri mwingine uliompa ni mzuri sana na ni wakiakademia sana. Kufanya intense literature review hakuepukiki na muhimu ili kujua kweli anafanya tatizo jipya au la! lakini itamsaidia contextualize na kushape tatizo lake katika kulisema (Problem statement) na hata kupendekeza research methodology sawia kwa tatizom lake.
 

Mkubwa msaidie jamaa, pengine hana hela, ukimwandikia kwa kumtoza fee (ni sawa kwako lkn ni mbaya kwake, siku akitaka kukuomba kazi ya kufanya utasema research yake ilipikwa- yaani yeye hajui!)
 
Mkubwa msaidie jamaa, pengine hana hela, ukimwandikia kwa kumtoza fee (ni sawa kwako lkn ni mbaya kwake, siku akitaka kukuomba kazi ya kufanya utasema research yake ilipikwa- yaani yeye hajui!)

IPILIMO: Haina shida, awasiliane na mimi
 
Ndugu zangu wataalam mbalimbali naombeni mnisaidie notes juu ya tittle hiyo juu ili niandika propasal.Nitumiena hata pamphlets na vitabu mbalimbali vyenye natisi za vita ya Kagera.Natanguliza shukurani na Mungu awalinde.

Bado hujajipanga kufanya research. yani proposal tu unataka msaada ??. ok jaribu kwenda kwenye kambi za jeshi kuomba taarifa but ni vizuri uwe umeshaandaa kwanza proposal ili ikuongoze kwenye areas of concern.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…