irumba1
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 882
- 321
Amani kwenu wana wa jf,naombeni mnijuze hili;ni kwamba nimeaply kupitia diploma,kwenye profile yangu katika program 5 nilizochagua kwenye vyuo tofaut tofaut,program 4 zinaonesha admission capacity kila chuo ni 10 lakini ukiangalia TCU GUIDE BOOK admission capacity kwa kila program ni zaidi ya 200.sasa hii admission capacity ya 10 niya sisi wa diploma tu au?,msaada plz