Msaada nacte deadline inawadia

irumba1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
882
Reaction score
321
Amani kwenu wana wa jf,naombeni mnijuze hili;ni kwamba nimeaply kupitia diploma,kwenye profile yangu katika program 5 nilizochagua kwenye vyuo tofaut tofaut,program 4 zinaonesha admission capacity kila chuo ni 10 lakini ukiangalia TCU GUIDE BOOK admission capacity kwa kila program ni zaidi ya 200.sasa hii admission capacity ya 10 niya sisi wa diploma tu au?,msaada plz
 
Mkuu, ndiyo nafasi kwa watu wa diploma ni 10 tu kwa kila programme, idadi inayobakia ni kwa form VI leavers.
 
Mkuu, ndiyo nafasi kwa watu wa diploma ni 10 tu kwa kila programme, idadi inayobakia ni kwa form VI leavers.

Ahsante ndugu ila wametubania nafas!
 
Deadline Si Ilikua Tarehe 30\6 Mbna Post Yko Ni Yawakat Uliopo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…