Mpambalachuma
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 362
- 44
Jamani mimi katika application za kuomba chuo niliamua kwenda kufanyia stationery kwa wazoefu but nikaambiwa katika kumbukumbu number niweke ile number ya form four ya kuanzia s......, nikafanikiwa pia text ikaja kuwa nimefanikiwa kulipa katika NACTE, hivyo basi nikafanya application na baada ya hapo, nikaambiwa kuwa number ya kumbukumbu ni 607070 so najiuliza application nilioifanya ni batili!?
Msaada tafadhali
sijakuelewa mkuu,namba ya kampuni ndio hio uliotaja na ukiambiwa namba yako ya kumbukumbu ndio hio ilioanzia S
Kwan ukikosea fomu ya application inaweza kuja!?
haiwezi kuja,hapo upo sahihi