Msaada NACTE/TCU

irumba1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
882
Reaction score
321
Amani kwenu wana JF,

Kwa wale tunaoaply kwa kutumia diploma kuna kulipia kupitia mpesa, sasa tcu/nacte kwenye guide book wameweka maelezo ni kama wamekosea, mfano unapiga *150*00# Halafu unaselect 4 baada ya hapo wanasema uchague 1 halaf uingize 607070 wakati kwenye 3 ndiko huduma za elimu zinapatikana.

Msaada please.
 
Me nlitumia kiswahili:unachagua 4 halafu 4 tena na sio moja kama walivyoandika halafu andika 607070 halafu endelea kutoka hapo hapasumbui...
 
Me nlitumia kiswahili:unachagua 4 halafu 4 tena na sio moja kama walivyoandika halafu andika 607070 halafu endelea kutoka hapo hapasumbui...

Hivi kwa diploma kama final results zetu hazijatoka siwezi kijisajili?
 
Wao walichukua menu ya M-PESA ya kiingereza. So ili uende vzr badili menu ya M-PESA yako iwe ya kiingereza utaenda nao sawa.
 
Wao walichukua menu ya M-PESA ya kiingereza. So ili uende vzr badili menu ya M-PESA yako iwe ya kiingereza utaenda nao sawa.

Nashukuru ndugu nimeshafanikiwa na nimeshaaply
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…