chief kamchicha
Member
- Jan 22, 2014
- 33
- 83
Cheti cha kuzaliwa pamoja na vyeti vya vifo,vina verified na rita then unapewa verification number ambayo unaiingiza hapo wakati unafanya application ya mkopo.Kama hujafanya verification ya cheti basi anza na hiyo kabla ya kuomba mkopo.Naomba msaada kwa anayejua.
Nafanya maombi ya mkopo kwa ngazi ya stashahada. Shida nikifika kwenye sehemu ya kujaja taarifa za kiemografia na kuandika namba za cheti cha kuzaliwa na nikitaka kusave Inanigomea nabkuniandikia "Your Rita Values Are Invalid" nawezaje tatua changamoto hiyo?
Huyu keshajichanganya hapo aisee na mdah umebaki mchache sanaCheti cha kuzaliwa pamoja na vyeti vya vifo,vina verified na rita then unapewa verification number ambayo unaiingiza hapo wakati unafanya application ya mkopo.Kama hujafanya verification ya cheti basi anza na hiyo kabla ya kuomba mkopo.
Wakati unafanya verification ya cheti chako RITA kuna mahala unajaza Purpose ya VerificationNaomba msaada kwa anayejua.