Msaada: Nafanya Mapenzi lakini sifiki kileleni

Hebu eleza vizuri hupigi bao kivipi, yaani hukojoleshwi.
Je wewe ni shoga...
Je mboo ikisimama ukaingiza kwenye Kei je hukojoi ?
Hii sijawahi skia, yaani mboo inasimama hadi mishipa inakaribia kupasuka lakini hukojoi? Kwa hiyo unatoa upepo tu.
Navyojua mimi wapo wanaume wanaofanywa mapenzi nyuma ndo wanalalamika hawakojoleshwi na wanaume wenzao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uhuni basi. Fuatilia thread toka ilivyoanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa na wake wawili kipaji mkuu ebu punguza zamu zao za kuwakula uone
 
Haaaaaaaaassss
 
Pole Sana tatizo ni kuwa umerogwa na shangazi yako
 
Tatizo ni hayo malyenge bosi inawezekana unamwaga pembeni
 
Je, mnapokuwa mnafanya mwenzio hufika kileleni? kama jibu ni ndiyo basi jaribu kuongea naye ili akusaidie kufika, asipate raha peke yake bali wote mpate. Kama naye hafiki basi kaeni pamoja mtafute suluhu yenye matokeo chanya
 
Anafika mkuu. Zaidi ya mara 5 lakini mimi hata ndururu sufiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…